Thursday, September 15, 2016

Muonekano wa simu mpya ya Samsung Galaxy A8 (2016) umevuja,huu hapa!



Kampuni ya Samsung inategemea kuzindua simu yake mpya ya Samsung Galaxy A8 miezi michache ijayo.Lakini  kama ujuavyo wachunguzi nao hawajalala na hivyo wameweza kuupata muonekano wa simu hiyo ambayo bado haijazinduliwa rasmi.
     Labda jambo muhimu kutoka kwenye muonekano wa simu hiyo ambalo watu wameweza kuligundua ni kwamba simu hiyo itakosa kile kijiti cha kuandikia au kubonyezea kwenye kioo cha simu kama zilivyo simu nyingi za Samsung.
     Hapa chini nimekuwekea pia baadhi ya picha za simu hiyo!! Ni hayo tu kwasasa!!




banner
Previous Post
Next Post

0 comments: