
Hii!! Wengi wanaifahamu sana kampuni ya Lenovo kwenye utengenezaji wa kompyuta ambazo kwa hapa nchini kwetu kwasasa kumekuwa na watumiaji wengi wa bidhaa hiyo.
Kampuni hiyo mwezi huu inazindua simu yake aina ya Lenovo K6 Note.Nafikiri kwa watumiaji wengi wa simu wanaelewa nini maana ya simu kuitwa Note.Kwahiyo napenda nikujulishe vitu muhimu kuhusu simu hii kutoka kampuni ya Lenovo ili usijepitwa na vitu vizuri.
Kwanza kama nilivyokwambia simu hii ni mpya kwani itazinduliwa mwezi huu,
Kiumbile simu hii ina kioo chenye ukubwa wa inchi 5.5 na inauwezo wa kusapoti internet kwenye mitandao ya 3g,2g na 4g,huku ikiwa inatumia sim card moja yaani laini moja.
Simu hii imetoka katika rangi tatu yaani kuna za silva,gold na grey huku zikiwa na kava la Aluminium.Ukubwa wa nafasi ya kuhifadhi vitu mbali mbali kwenye simu hii yaani storage ni 32Gb huku ikiwa na sehemu ya kuweka memory card yoyote mpaka yenye ukubwa wa 2556Gb.
Kama nilivyokwambia kuwa simu hii ni mpya hivyo mfumo wake wa kufanya kazi yaani operating ysstem au [OS] kwa kifupi ni wa kisasa kabisa ambao ni android 6.0 Marshmallow.Kizuri zaidi ni kwamba simu hii ina RAM ya 3GB,na hivyo kukupa uwezo wa kuitumia simu yako kwa kufungua programu nyingi kwa wakati mmoja na utaziyumia bila simu kukusumbua au kukwama kwama.
Hayo ni baadhi ya mabo muhimu kuhusu simu hii,kwa mengi zaidi angalia hapa chini.
General Information
2G Network | GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 |
3G Network | HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 |
4G Network | LTE |
SIM | Dual micro SIM |
Status | Available September 2016 |
Body |
|
Dimensions | |
Keyboard | Touchscreen |
Colors | Silver, Gold, Grey |
Cover | Aluminum |
Display |
|
Type | IPS capacitive touchscreen with 16,000,000 colors |
Size | 5.5 inches, 1080 x 1920 pixels, 401 pixels per inch |
Memory And OS |
|
Card slot | MicroSD, up to 256GB |
Internal | 32GB |
OS | Android 6.0 Marshmallow |
Processors | 1.5GHz quad-core Cortex-A53 CPU, Qualcomm Snapdragon 430 chipset, Adreno 505 GPU |
RAM | 3GB |
Audio |
|
Alert types | Vibration, MP3 ringtones |
Loudspeaker | Yes |
Audio port | 3.5mm jack |
Connectivity |
|
2G | GPRS – up to 85.6 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps |
3G | Up to 42.2 mbps downlink; Up to 5.76 mbps uplink |
4G | Up to 150 mbps downlink; Up to 50 mbps uplink |
WIFI | Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot |
Bluetooth | Version 4.1 |
GPS | A-GPS |
NFC | No |
USB | MicroUSB v2.0 |
Camera |
|
Primary | 16MP, up to 5312 x 2988-pixel pictures, Geo-tagging, HDR, auto focus camera with LED flash |
Video | 1080p@30fps |
Secondary | 8MP, up to 3264 x 2448-pixel pictures |
Battery |
|
Capacity | 4000mAh Li-Ion battery |
Stand-by | |
Talk time | |
Music play | |
Other Features |
|
Sensors | Accelerometer, Proximity, Compass, Fingerprint |
Messaging | SMS, MMS, Email, Push Mail, IM |
Browser | HTML |
Java | No |
Miscellaneous | – SNS integration – FM radio – MP4/MPEG4/H.263/H.264 player MP3/WAV/eAAC+/AC3/FLAC player – Document viewer – Image viewer/editor – Preloaded applications – Gmail, YouTube, UC browser, Baidu search, Kingsoft office, etc. |
Price |
|
Price level | About 159 USD |
0 comments: