
Hi!! Teknolojia inazidi kukua na makampuni ya simu nayo yanazidi kuonyesha ushindani kila siku kwa kutengeneza simu mpya zikiwa na maboresho kadhaa ya matoleo ya simu zilizopita.Leo napenda nikujulishe mambo muhimu kuhusu simu aina ya Huawei G9 Plus ambayo imetengenezwa na kampuni ya Huawei.Napenda nikujulishe mambo muhimu kutoka kwenye simu hii ili kama utaona inakufaa basi unaweza kuitafuta madukani.Simu hii naweza kusema ni bado mpya kwani imezinduliwa rasmi mwezi wa nane mwaka 2016.
Simu hii ina uwezo wa kusapoti internet kwa mitandao ya 2g,3g na 4g pia.Simu hii imetolewa katika rangi tatu yaani kuna za rangi nyeusi,nyeupe na Gold.Ina ukubwa wa inchi 5.5 huku ikiwa na uzito wa gram 160.
Pia simu hii ina storage yaani uwezo wake wa kuhifadhi data au mafaili mbali mbali wa Gb 32 na Gb 64.Hii ikiwa na maana kwamba katika simu hiyo hiyo kuna ambazo zina ukubwa huo tofauti wa nafasi.Simu hii ina Ram ya Gb 3 na Gb 4,hii ikiwa na maana pia kuwa simu hiyo hiyo wameitengeneza baadhi zina Ram ya 3 na nyingine 4.
Hayo ni baadhi tu kuhusu simu hii,Mengi zaidi tazama hapa chini
| 2G Network | GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 | |
| 3G Network | HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 | |
| 4G Network | LTE | |
| SIM | Dual nano SIM | |
| Status | Available August 2016 | |
Body |
||
| Dimensions | 151.8 x 75.7 x 7.3 mm, 160 grams (5.98 x 2.98 x 0.29 inches, 5.64 ounce) | |
| Keyboard | Touchscreen | |
| Colors | White, Black, Gold | |
| Cover | Plastic | |
Display |
||
| Type | IPS capacitive, multi-touch touchscreen with 16,000,000 colors | |
| Size | 5.5 inches, 1080 x 1920 pixels, 401 pixels per inch (PPI) |
|
Memory And OS |
||
| Card slot | MicroSD, up to 128GB | |
| Internal | 32GB and 64GB models | |
| OS | Android 6.0 Marshmallow, Emotion UI 4.1 | |
| Processors | 2.0GHz octa-core Cortex-A53 CPU, Qualcomm MSM8953 Snapdragon 625 chipset, Adreno 506 GPU | |
| RAM | 3GB and 4GB models | |
Audio |
||
| Alert types | Vibration, MP3 ringtones | |
| Loudspeaker | Yes | |
| Audio port | 3.5mm jack | |
Connectivity |
||
| 2G | GPRS – up to 32 to 48 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps | |
| 3G | Up to 42 mbps downink; Up to 5.76 mbps uplink | |
| 4G | Up to 150 mbps downink; Up to 50 mbps uplink | |
| WIFI | Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot, DLNA, Wi-Fi Direct | |
| Bluetooth | Version 4.1, A2DP, LE | |
| GPS | A-GPS, GLONASS | |
| NFC | To be confirmed | |
| USB | MicroUSB v2.0 | |
Camera |
||
| Primary | 16MP, up to 5312 x 2988-pixel pictures, face and smile detection, phase detection, autofocus, HDR, Geo-tagging camera with LED flash | |
| Video | 1080p@30fps | |
| Secondary | 8MP, up to 3264 x 2448-pixel pictures | |
Battery |
||
| Capacity | 3340mAh Li-Po battery | |
| Stand-by | ||
| Talk time | ||
| Music play | ||
Other Features |
||
| Sensors | Accelerometer, Proximity, Compass, Fingerprint | |
| Messaging | SMS, MMS, Email, Push Mail, IM | |
| Browser | HTML5 | |
| Java | No | |
| Miscellaneous | – Active noise cancellation with dedicated mic – MP3/WAV/eAAC+/WMA player – MP4/H.264/H.263/WMV player – Document viewer/editor |
|
Price |
||
| Price level | About 370 USD |
0 comments: