Tuesday, September 13, 2016

NAMNA YA KUSOMA MSG WHATSAP BILA ALIYEKUTUMIA KUJUA

Image result for .parallel-spacemulti-accounts
Kama ujuavyo Whatsap imafanyiwa maandeleo kiasi kwamba mtu anapokutumia msg na ukaisoma kuna alama za tiki ambazo huwa zinaonyesha kama msg hiyo umeisoma au hujaisoma.Hapa chini nakuonyesha namna ya kuweza kuepusha mtu kugundua kuwa msg yake umeisoma.Ina maana kuwa utaweza kuisoma msg hiyo bila alama za tiki kubadilika na kukuonyesha kuwa umeisoma.Zifuatazo ni njia unazoweza kuzitumia.

1. ZUIA Read Receipts Option

Kuweza kufanya hivyo
1.fungua programu yako ya Whatsap kisha nenda kwenye setting

2.kisha chagua accounts kisha nenda kwenye privacy.

3.Ondoa tiki kwenye "read receipts" kama inavyoonyesha hapa chini



2.Njia ya pili unayoweza kutumia ni kuzima data au wifi mara tu unapokuwa umepokea msg ya whatsap na kuisoma bila kuweka on data yako au wifi.

3.Njia ya tatu ni kuweka whatsap widget kwenye screen ya simu yako.hii itakusaidia kusoma msg mara tu zinapokuwa zimekuja kwenye simu yako bila kufungua program yako ya whatsap hii itazuia alama za tik mbili kujitokeza pindi tu usomapo hiyo msg.

Ni hayo tu,tumia mojawapo hapo na kama unahitaj msaada basi niandikie kwenye comment hapa chini ntakusaidia
banner
Previous Post
Next Post

0 comments: