Wednesday, September 21, 2016

Ijue Tecno W4 simu bora kwa gharama nafuu kabisa.

Image result for Tecno W4

Hi!! Natumai uko poa.Leo napenda nikujulishe dili nzuri sana kwa wewe ambaye hujajua kuhusu simu aina ya Tecno W4.Simu hii naweza kusema ni bado mpya kwani imezinduliwa hivi karibuni.
  Kwanini nimesema ni dili nzuri sana? Ni hivi ukiangalia mambo mengi ya ubora wa simu hii na ukilinganisha na gharama yake yes,hapo utajua kuwa simu hii ni dili nzuri kwa mtu wa kipato cha kawaida.Napenda nikujulishe mambo muhimu kuhusu simu hii ambayo kwangu mimi naona ni moja wapo ya simu standard kabisa na inayokuwezesha kutumia katika mahitaji ya namna nyingi.
      Simu hii ina uwezo wa kusapoti mitandao ya 2g,3g na mtandao wenye kasi zaidi kwa sasa wa 4g na hivyo kukufanya kuwa na internet bora na yenye kasi zaidi kwa gharama ndogo tu.Pia simu hii ina uwezo au nafasi ya kuhifadhi files na data mbali mbali yenye ukubwa wa Gb 16 na huku ikiwa na sehemu ya kuweka memory pia ya ukubwa hadi wa Gb 200. Pia simu hii ina RAM ya 1Gb ambayo pia si haba kwani itakuwezesha kufungua programu na kuzitumia kwa wakati mmoja bila simu kukusumbua kwa kuwa nzito au kukwama kwama.
         Simu hii imetoka ikiwa kwenye rangi tofauti tofauti na hivyo kukupa uhuru wa kuchagua rangi uipendayo,ikiwemo nyeusi na nyeupe.Pia simu hii ina uwezo wa kupiga picha zenye ubora wa hali juu na kuifanya kuwa mojawapo ya simu nzuri kwa mtumiaji wa kisasa wa simu.
      Uzuri zaidi wa simu hii ni kwamba mfumo wake wa kufanya kazi yaani operating system (OS) ni wa kisasa na mpya kabisa ikiwa ni Android version 6.0 ujulikanao kama Marshmallow.
 Image result for Tecno W4
      Simu hii kutegemea na maduka lakini gharama yake ni kati ya shilingi laki moja na sitini (160,000) mpaka laki moja na themanini kwa Tanzania kama nilivyosema inategemea na duka uliloenda.Kwa gharama hiyo ukilinganisha na simu yenyewe kiukweli ni dili nzuri sana tu.
      Mengine mazuri kuhusu simu hii tazama hapa chini.



General Information


2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network HSDPA 900 / 2100
4G Network LTE
SIM Dual mini SIM
Status Available April 2016

Body

Dimensions 143.50 x 71.30 x 8.50 mm, 135 grams
Keyboard Touchscreen
Colors Black, Silver
Cover Plastic

Display

Type IPS capacitive touchscreen with 16,000,000 colors
Size 5.0 inches, 720 x 1280 pixels, 294 pixels per inch (PPI)

Memory And OS

Card slot MicroSD card, up to 128GB
Internal 16GB
OS Android 6.0 Marshmallow
Processors 1.3GHz quad-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6735 chipset, Mali-T720 GPU
RAM 1GB

Audio

Alert types Vibration, MP3 ringtones
Loudspeaker Yes
Audio port 3.5mm jack

Connectivity

2G GPRS – up to 85.6 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps
3G Up to 42 mbs downlink; Up to 5.76 mbs uplink
4G Up to 150 mbs downlink; Up to 50 mbs uplink
WIFI Wi-Fi 802.11 b/g/n, WIFI hotspot, Wi-Fi direct
Bluetooth Version 4.1
GPS A-GPS
NFC No
USB MicroUSB v2.0

Camera

Primary 8MP, up to 3264 x 2448-pixel pictures, HDR, autofocus, Geo-tagging, panorama camera with LED flash
Video Yes
Secondary 2MP up to 1600 x 1200-pixel pictures

Battery

Capacity 2500mAh Li-Ion battery
Stand-by
Talk time
Music play

Other Features

Sensors Accelerometer, Proximity
Messaging SMS, MMS, Email, Push Mail, IM
Browser HTML5
Java No

– SNS integration
– MP4/MPEG4/H.263/H.264 player
– MP3/WAV/eAAC+/AC3/FLAC player
– Document viewer
– FM radio
– Image viewer and editor
– Voice memo/dial/command
– Predictive text input
– Preloaded apps –  Gmail, Gtalk, Google Now, Youtube, Flash Share, Facebook, Palmchat

Price

Price level About 80 USD
banner
Previous Post
Next Post

0 comments: