KWANINI UNAHITAJI KUBADILI IMEI NAMBA YA SIMU YAKO
- Kuna baaadhi ya application unapozidownload na kuziweka [install] kwenye simu yako yako zinatoa ofa ya kukutaka umwambie rafiki yako pia aidownload hiyo programu na wao kukulipa wewe fedha kwa kulifanya hilo.Bahati mbaya huwezi kuidownload programu hiyo mara nyingi kwnye simu yako kwa kutumia code waliyokupa ili uweze kujivunia pesa nyingi kwani ukishadownload programu hiyo mara moja na kuiweka kwenye simu yako wao watakuwa na uwezo wa kugundua IMEI ya simu yako na hivyo ukijaribu kuidownload tena hiyo programu itakataa kukaa kwenye simu yako.Njia rahisi ya kuepuka hilo ni kubadili IMEI ya simu yako na hapo utaweza kuwaidi ujanja.
- Umuhimju mwingine wa kubadili IMEI ya simu yako ni kipindi ambapo utapata tatizo la "sim error" kwenye simu yako.Tatizo hilo huwa linasababishwa na kuharibika kwa IMEI namba ya simu yako na hivyo ukiweza kuibadili utaifanya simu yako iweze kufanya kazi vizuri.
1.Hakikisha umeiroot simu yako.Kama hujui maana ya kuroot unaweza uliza kwenye comment ntakusaidia.
2.Hakikisha kwenye simu yako una programu iitwayo XPOSED
3.Hakikisha unadownload pia programu iitwayo IMEI changer.unaweza kuidownload kwa kubonyeza hapa DOWNLOAD XPOSED APK
NAMNA YA KUBADILI IMEI
1.Andika kando IMEI namba ya simu yako ya awali [original] ambayo utaipata kwa kubonyeza *#06#.
2.Baada ya hapo nenda kwenye programu yako ya xposed uliyoiweka kwenye simu hyako kisha angalia model iliyoandikwa IMEI Changer kisha weka tiki hapo na baada ya hapo Restart simu yako.
3.Baada ya kuirestart simu na kisha ikawaka yenyewe sasa nenda kweny programu yako ya IMEI changer kisha ifungue kwa kuibonyeza.Ikishafunguka itakuonyesha imei halisi ya simu hiyo na chini yake itaonyesha IMEI mpya ya simu hiyo kama inavyoonyesha kwenye picha hapo chini.Hapo utatakiwa kubonyeza neno Apply.Baada ya kubonyeza apply ikishamaliza basi Ireboot simu yako mara moja tu au kama hujui namna ya kuireboot basi weka on airplane mode mpaka mabadiliko ya IMEI yatakapofanyika kisha utairudisha kuwa off na kuendelea na matumiz ya kawaida ya simu yako.
Airplane mode unaweza kuipata kwa kubonyeza kwa muda mrefu batani yako ya kuzimia simu au pia unaweza kuipata juu kabisa kwenye simu yako kwenye navigation bar kama kwenye picha hapa chini
Nataka kurudisha imei namba ya simu yenyewe maana nilionayo ni bandia
ReplyDeletekuroot man ake
ReplyDeleteSijui namna ya kuroot simu
ReplyDelete