
Njia ya kawaida ya kuroot simu ya android kwa watu wengi imekuwa ni kwa kutumia programu iitwayo framaroot.Pogramu hii huroot simu kwa urahisi maana haihitaji mtumiaji awe na computer.lakini kutokana na kukua kwa teknolojia kampuni zinazotengeneza simu zimeweza kutumia mfumo ambao kwa simu za hivi karibuni sio rahisi kuziroot kwa kutumia framaroot.Baadhi ya simu hizo ni ambazo nimezitaja hapo juu.Sasa ili uweze kuroot simu nilizozitaja hapo juu fuata hatua zifuatazo kwa umakini.
1.Hakikisha unakua na computer.
2.kisha download programu iitwayo kingoroot hapa http://d.kgroot.com/android_root.exe
3.Hakikisha unakua na internet kwenye computer yako.
4.ukishahifadhi programu hiyo kwenye computer yako kisha ifungue.
5.Chukua simu yako unayotaka kuiroot kisha kwa kutumia usb cable ichomeke/unganisha kwenye computer.
#### tafadhari zingatia haya kabla ya kuchomeka au kuuunganisha simu yako kwenye computer kwaajili ya kuroot.
i) hakikisha unaweka tick kwenye setting yako ya usb debugging kwenye simu yako.ili uweze kuset on usb debugging nenda kwenye sehemu ya setting kwenye simu yako,kisha chagua general setting baada ya hapo shuka hadi utakapoikuta "developer option" bonyeza hapo kisha tafuta option ya usb debuging weka tick kwa kumark kwenye kibox bonyeza oky.
6.Ukishamaliza hiyo hapo juu,connect usb cable yako ambayo umeshaichomeka kwenye simu kwenye compuer.baada ya muda kidogo programu ya kingoroot itadetect simu yako kisha bonyeza root kuanza kuiroot simu yako.itakutaka ubonyeze kukubali kwenye simu yako,bonyeza ok kuipa ruhusa ikishaanza kuroot tulia usifanye chochote kwenye simu yako hata kama itazima maana baada ya muda itawaka yenyewe mpaka itamaliza.hivyo subiri mpaka computer/kingoroot itakapokwambia "root successfull"
7.Chomoa simu yako kisha bonyeza kitufe kinachokuletea program zako zote za simu,kisha tafuta program iitwayo super user,ukiiona kwenye simu yako basi jua simu yako umefanikiwa kuiroot vizuri na kuanzia hapo anza kufurahia mambo mengi na mazuri ya faida za kuroot simu ikiwemo kuzitoa programu zote zilizokuja na simu usizozipenda na kuweka programu zako unazozipenda kwenye system.
8.Utakapokua unatumia baadhi ya programu zinazohusiana na root super user itaomba ruhusa kwako ya kuiruhusu programu iweze kufanya kazi hivyo kila wakat bonyeza grant super user pindi inapokutaka ruhusa.kama hujaelewa comment nami ntakusaidia
0 comments: