Tuesday, September 13, 2016

NAMNA YA KURUDISHA MESEJI ZAKO ZA WHATSAPP ZILIZOFUTIKA

Image result for whatsapp

Mara nyingine tena nakuonyesha ujuzi mwingine nao ni kuhusu namana unatakayoweza kuzipata meseji zako za whatsapp zilizofutika kwa bahati mbaya au kufutwa na mtu mwingine.fuata hatua zifuatazo,,,
1.Kwenye simu yako ya android,nenda kwenye sehemu ya "setting" kisha nenda kwenye neno "application" kisha bonyeza whatsapp.
2.baada ya kufunguka "setting" ya whatsapp bonyeza option hii "clear data" itakuletea onyo bonyeza ok.hapo utakua umefuta kila kitu.
3.Baada ya hapo toka kwenye setting kisha nenda kwenye program yako ya whatsapp ifungue,,itakutaka uactivate.
4.Ingiza namba yako kisha katika kuactivate chagua "restore data" bonyeza hapo.mpaka hapo utakua tayari umerudisha msg zako na endekea kufurahia.
banner
Previous Post
Next Post

0 comments: